KUZA ACCOUNT Logo KUZA ACCOUNT
Jisajili
Jinsi ya Kuagiza (Muongozo)
Tafadhali Soma Kabla ya Kuweka Oda:
1. Ukomo wa Kiasi (Quantity Limit)

Kwa usalama wa akaunti yako na kuepuka changamoto za kiufundi, tunashauri usizidi idadi ya 1,000 (1k) kwa agizo moja. Kama unahitaji zaidi, weka oda katika awamu tofauti.

2. Usiunganishe Oda Mbili (No Stacking)

Tafadhali usubiri mpaka oda yako ya kwanza ikamilike (Status: Completed) kabla hujafanya oda nyingine kwa kutumia Link ileile kwenye huduma hiyohiyo. Kuweka oda mbili zinazofanana wakati moja bado inashughulikiwa itasababisha oda hizo kuingiliana na kupoteza pesa yako bila fidia.

3. Ucheleweshaji wa Huduma za TikTok

Kutokana na mabadiliko ya sera na masharti mazito ya mtandao wa TikTok, baadhi ya huduma zao huchukua muda kidogo kukamilika ukilinganisha na mitandao mingine. Tafadhali kuwa na subira, oda yako itakamilika kikamilifu.

4. Masharti Kwa Akaunti za Mitandao
  • Akaunti Iwe Public: Hakikisha akaunti yako IKO PUBLIC (Sio Private) wakati unasubiria oda yako ikamilike. Mfumo hautafanya kazi kwenye akaunti ya Private.
  • Instagram 'Flag for Review': Kwa huduma za Instagram Followers, lazima uzime option inayoitwa "Flag for review" kwenye mpangilio ya akaunti yako kabla ya kuweka oda, la sivyo followers hawatapanda. Jinsi ya kuzima? Tazama hapa jinsi ya kufanya (Video).